Karibu Zanzibar 2020

 

There’s no place on earth like Zanzibar. Our two unique islands offer distinct experiences that will entice any traveler.We warmly invite you to explore our islands

                    and discover your ideal travel experience. We invite you to get the most out of your vacation with the Zanzibar's official tourism website. 

 

 
 

TANGAZO

KWA MUJIBU WA SHERIA NA TARATIBU ZA SEREKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR, KAMISHENI YA UTALII NI TAASISI  YENYE JUKUMU LA KUKATISHA LESENI KWA MIRADI AU BIASHARA ZOTE ZA KITALII ZANZIBAR KAMA INAVYO ELEZWA KWENYE KIFUNGU NO.15  SHERIA NO.6 YA UTALII YA MWAKA 2009.

KAMISHENI YA UTALII ZANZIBAR INAWATANGAZIA WATU WOTE WANAOFANYA BIASHARA YA UTALII ZANZIBAR BILA YA KUWA NA LESSENI WAFIKE KAMISHENI YA UTALII KUKATA LESSEN.

AIDHA MAOFISA WA KAMISHENI YA UTALII WATAPITA MAENEO YOTE YA ZANZIBARKWA ZOEZI LA KUKAGUA NA KUSAJILIMIRADI YOTE YAKITALII ILIYOPOZANZIBAR.

ZOEZI HILI LA UKAGUZI NA USAJILI WA MIRADI YOTE YAKITALII, LITAFANYIKA KUANZIA TAREHE 01/11/2019.

EWE MFANYA BIASHARA SAJILI NA LIPIA LESENI ILI KUEPUKA USUMBUFU USIO WA LAZIMA.

TOA MASHIRIKIANO KWA MAOFISA WA KAMISHENI YA UTALII ILIKUIMARISHA UTALII WETU NA KUKUZA UCHUMI WA NCHI YETU.

BIASHARA NA MIRADI YENYEWE KAMAVILE:

     I.        NYUMBA ZA KULAZA WAGENI AMBAZO HAZINA LESENI.

   II.        TOURS AMBAZO HAZIKO RASIMI.

  III.        TOURGUIDES AMBAO HAWANA VIBALI.

 IV.        MADUKA YA KITALII NA SPA AMBAYO HAYANA LESENI.

   V.        MAGARI YANAYOKODISHWA WAGENIAMBAYO HAYANA VIBALI VYA KAMISHENI YA UTALII.

 VI.        TRAVEL NA AIR AGENTS AMBAO HAWANA LESENI ZA KAMISHENI YA UTALII.

VII.        MIKAHAWA YA KITALII AMBAYO HAINA LESENI YA KAMISHENI YA UTALII.

VIII.        MABOTI YANAYOCHUKUA WATALII AMBAYO HAYANA LESENI,PAMOJA NA MICHEZO YA BAHARINI KWA WATALII YA AINA ZOTE.

 IX.        HOTELI ZINAZO FANYA KAZI ZA TOUR OPERATION BILA YA KUWA NA RUHUSA.

   X.        MASHAMBA YA VIUNGO (SPICE FIRMS) NA MADUKA YA ZAWADI AMBAYO HAYANA LESENI.

NAKAZALIKA.

TII SHERIA BILA YA SHURT

KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU:

255774366161 AU 255777491031

AHSANTENI SANA

 

Sauti za Busara brings people together to celebrate African music under African skies. The 17th edition will take place in Stone Town, Zanzibar from 13th - 16th February 2020. Highlights include: